Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali...
Kikao cha dharura kwa watu wote wenye mwili
Onyo: Video hii niya kuogofya hatutohusika na mfadhaiko utakao upata pindi utakapo angalia video hii.
Ndugu zangu wanawake wamekuaje hakika, kama...
Habari wana JF,
Nimekua nikiishi Kwa muda mrefu nikiwaza nifanye jambo gani Ili angalau nipige hatua mbele?
Lakini nmekuja kugundua jambo Moja ambalo ni ukweli mchungu, Ukiwa na Hela ni rahisi...
Shirikisho la soka Afrika (CAF) limefanya mabadiliko ya timu ya waamuzi kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho kati ya USM Algers dhidi ya RS Berkane ambapo Mwamuzi wa Mauritania, Beida Dahane...
Habarini wana JF,
Leo nimekaa nimewaza sana na kujiuliza maswali mengi ambayo nimependa kushare nanyi.
Je, roho itakapotoka tutakua na hisia kua tumeshafariki?
Tutaweza kuona matukio...
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
Boniface Jackob , Ambaye ni Meya wa Zamani wa Manispaa ya Kinondoni na Baadaye Ubungo , ambaye kitaaluma ni Mtaalam wa Mahesabu ya Fedha , ameita Waandishiwa Habari asubuhi hii ili kuchambua...
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu.
Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia.
Sharing is caring.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.