Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeangalia jana znz watu wanakamatwa kwa kula mchana ....sasa nikajiuliza mfano marekani ingekuwa dola ya kiislam uingerez dola ya kiislam china nayo dola ya kiislam .yaani mfano nchi...
1 Reactions
10 Replies
78 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
27 Reactions
132 Replies
2K Views
Saizi huyu ni Senegal president na yeye ni first Lady....😊
28 Reactions
57 Replies
1K Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
6 Reactions
132 Replies
2K Views
HOTUBA YA PAPA FRANCIS ILIYOSHITUA DUNIA Tafadhali soma hotuba ya Baba Mtakatifu. Bila kujali dini yako, ona jinsi Papa Francis alivyoandika vyema kuhusu familia. FAMILIA NI MAHALI PA MSAMAHA...
5 Reactions
15 Replies
277 Views
Mabasi haya yamegongana usiku wa kuamkia leo na kusababisha yote kuungua moto pia foleni kubwa kwa barabara ya Dar - Chalinze na majeruhi kadhaa Hili nilikuwa jambo la kusubiria maana ligi zao...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Kuna biashara inayoendelea kati ya baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO TANGA MJINI na wamiliki wa Kumbi za kuonyesha mipira kwa makubaliano wanayoyajua wao. Mechi ikikaribia kuanza kuchezwa...
2 Reactions
12 Replies
83 Views
Wakuu habari za muda huu. Nina kijana mtoto wa ndugu yangu yuko kidato cha kwanza katika shule ya sekondari ya Serikali (Kata), nahitaji kumuhamisha kwenda shule za vipaji maalumu za Serikali...
0 Reactions
3 Replies
904 Views
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na...
5 Reactions
19 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,515
Posts
49,204,711
Members
664,043
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom