Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

habari Wana JF, Binafsi Mimi nipo tofauti kidogo na wenzangu ...kwani sipendi hiyo siku ya mechi ifike kwani naona taifa litakuwa kwenye aibu nzito [emoji24] pale ambapo kipindi Cha kwanza ubao...
2 Reactions
54 Replies
570 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
165 Replies
3K Views
Mwezi mmoja nyuma nilipatwa na hali ya kuumwa kwa, kuchoka mwili na homa ile ya watu wazima mwili hauchemki ila kwa mbali unajisikia hovyo, nikaenda maabala, nikapima mkojo, tyiphoid na malaria...
4 Reactions
81 Replies
1K Views
Vinapitaga hapa mida ya saa Moja 30' Hadi saa mbili Kila siku. Kimoja kina mwanga kina ulingo kuzungukia. Kingine kinafanana na stelite kina Kingo kama ngazi za helicopter.
5 Reactions
72 Replies
2K Views
Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki Msaaada naombeni
1 Reactions
43 Replies
319 Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
6 Reactions
83 Replies
3K Views
Huyu ni BobRisky wa Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
1 Reactions
41 Replies
520 Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda,kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
12 Reactions
163 Replies
1K Views
Facial expression na kauli za Mama leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG na TAKUKURU ni kama vile Mama hakuwa na raha na GAG zaidi mzani ulielemea kwa TAKUKURU
2 Reactions
3 Replies
58 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,400
Posts
49,200,653
Members
664,016
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom