Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
506K Replies
28M Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
916 Reactions
1M Replies
38M Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
19 Reactions
278 Replies
4K Views
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa...
2 Reactions
61 Replies
523 Views
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
25 Reactions
147 Replies
3K Views
Eti? Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike..... unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili? Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au...
6 Reactions
29 Replies
228 Views
Taifa la Mungu wakati tukijiandaa kusherekea Pasaka siku ya jumapili. Wakirsto waliopo Zanzibar wapo kwenye mtihani mkubwa. Zanzibar kwa sasa ukila mchana unakamatwa na polisi na kuwekwa ndani...
53 Reactions
326 Replies
6K Views
Uwezo wa kukabilianana majanga kwa wakati si jambo rahisi kwa taifa wa jamii yoyote haijarishi uwezo wala maendeleo taifa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya...
0 Reactions
8 Replies
152 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,699
Posts
49,209,514
Members
664,073
Latest member
merckme
Back
Top Bottom