Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
20 Reactions
1K Replies
11K Views
Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria. Akichangia makadirio ya mapato na...
4 Reactions
91 Replies
2K Views
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013 Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
6 Reactions
60 Replies
940 Views
Hivi karibuni nimehamia Mkoa fulani katika harakati za utafutaji, kama unavyojua maisha popote pale maadam unapambania mkate wa kila siku. Siku kadhaa zilizo pita nikiwa naelekea katika harakati...
5 Reactions
28 Replies
473 Views
Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara...
5 Reactions
61 Replies
767 Views
Bnechikha alipokuja tu Simba, niliwahi kuja na nyuzi mbili nikitoa tahadhari kuwa mafanikio yake yanaweza kuwa duni kutokana na hali aliyoikuta Simba. Kwanza niliongelea suala la quality ya...
1 Reactions
3 Replies
60 Views
Habarini ndugu wadau wa Jamii Forums, Najitokeza kwenu ili niweze kupata msaada wa kupata bank statement kwa ajili ya kuombea visa ili niende shule USA. Binafsi nina kiasi cha milioni 40 ambacho...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli,ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye. Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa...
13 Reactions
32 Replies
1K Views
Poleni Kwa majukumu wadau Kuna habari kuwa Rwanda imejipanga kuwapokea wakimbizi Toka ulaya. Ninacho dadisi ni je? Rwanda itafaidika kwa lipi? Nawasilisha
3 Reactions
40 Replies
506 Views
Serikali hili jambo imelifumbia macho halishughulikiwi kabisa Serikali ya CCM imelala usingizi mnono.............................
1 Reactions
15 Replies
327 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,930
Posts
49,469,181
Members
666,518
Latest member
Ndasika
Back
Top Bottom