Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza (First Leg) wa robo fainali wa Ligi ya...
11 Reactions
79 Replies
997 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
102 Reactions
218K Replies
16M Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
915 Reactions
1M Replies
38M Views
Video hii inaonesha mtu akichapwa fimbo huku akiambiwa "Hapa si bara" sababu za kuchapwa eti ni kwa kuwa amekula mchana chakula wakati wa Ramadhani. Hivi Zanzibar, mnawachukuliaje watu wa bara...
4 Reactions
57 Replies
645 Views
Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
4 Reactions
25 Replies
407 Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
4 Reactions
48 Replies
663 Views
Habari zenu wana group! Nahitaji kufanya biashara nina mtaji wa milioni 4. Nahitaji kuuza vitu niagizie toka Dar es Salaam mi niko Tabora. Naombeni ushauri nifanye biashara gani?
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Katika maandalizi yanayoendelea kwa Simba na Yanga kuelekea mechi zao dhidi ya Al Ahly na Mamelod inaonyesha Simba wana nafasi kubwa sana ya kushinda mechi yao tena kwa idadi kubwa ya magoli hapa...
0 Reactions
3 Replies
46 Views
Mathalani, Ushindani wa jadi baina ya simba na Yanga uchochee kuibua vipaji vya soka na kuinua ubora na viwango vya soka la Tanzania, kitaifa na kimataifa 🐒 Viongozi wa serikali na wasio wa...
1 Reactions
5 Replies
82 Views
Mtu aende wapi kujitafuta ambako usalama, gharama za maisha sio za kutisha. Ambako kuna watanzania wengi. Ambako watu wake ni wakarimu kwa wageni. Wapi unashauri mtu aende KENYA ama UGANDA?
7 Reactions
104 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,490
Posts
49,203,760
Members
664,040
Latest member
Batchelor Mpole
Back
Top Bottom