Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba majawabu kama nilivyouliza kwenye kichwa Cha Uzi huu Ahsanteni 😄
0 Reactions
2 Replies
34 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
  • Sticky
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea. Tuambiane; - Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako? - Ni ya aina gani...
49 Reactions
22K Replies
2M Views
Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia. Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa...
0 Reactions
2 Replies
11 Views
Naamini uzima mnao nyote, kama si hivyo basi pole kwa wewe ambaye hauko sawa kiafya na mungu akujalie upone mapema. Nina shauku na nina sauti safi kwa kutoa matangazo katika vifaa vya muziki...
1 Reactions
5 Replies
125 Views
Wadau hamjamboni nyote? Hatimaye wameonana baada ya kuachana miaka mingi wakiwa shuleni pamoja. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na majirani zake wa zamani Bi Asha Salum...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Taarifa iliyotolewa na Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Aprili 9, 2024 imesema kutokana na maboresho yaliyofanyika na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili upande wa Kliniki za VIP Jengo la...
1 Reactions
30 Replies
468 Views
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni...
1 Reactions
16 Replies
227 Views
Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap. Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko...
11 Reactions
84 Replies
1K Views
Kulingana na jinsi Kikokotooo kilivyo mwiba kwa wastaafu, huyu mbunge siyo Mtanzania. Mbunge amelewa mafao wanayolipwa wao kwa miaka 5 na kuwasahau watumishi wa umma wanaotumikia taifa kwa miaka...
17 Reactions
321 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,845,946
Posts
49,401,588
Members
665,781
Latest member
lucysAloyce
Back
Top Bottom