Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
19 Reactions
177 Replies
9K Views
Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana...
0 Reactions
9 Replies
271 Views
Leo tuangazie janga ambalo limekuwa likitokea katika nchi yetu kila baada ya miaka kadhaa. Kuanguka kwa Majengo 1.Sababu kuu za Kuanguka kwa Majengo ni kama zifuatazo MSINGI WA JENGO KUWA DHAIFU...
1 Reactions
5 Replies
97 Views
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UZINDUZI WA AWAMU YA 4 YA SHINDANO LA “STORIES OF CHANGE” JamiiForums (JF) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu jijini Dar es Salaam. JF inashughulika na Haki za...
3 Reactions
8 Replies
336 Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
17 Reactions
136 Replies
1K Views
A
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki...
8 Reactions
57 Replies
1K Views
Kabla ya Iran kutawaliwa katika mfumo wake wa sasa wa Ki- Ayatollah ilikuwa ikitawaliwa kwa mfumo aina fulani karibia na Ufalme hivi ambao watawala wake walikuwa wakiitwa Shah. Mashah wawili wa...
9 Reactions
60 Replies
1K Views
Kwa mimi nahisi ningekuwa mchekeshaji ndio comedian, huwa najihisi kabisa hii kitu ingenifaa zaidi. Wewe je?
0 Reactions
15 Replies
95 Views
Binfasi naamini Darasa kwa uwezo wake na style yake ya kuchana akikaa kwenye ngoma moja na Zuchu watatoa chuma kimoja matata sana. Tuombe Mungu abariki siku moja tuone collabo yao ya kuisimamisha...
0 Reactions
24 Replies
645 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,827
Posts
49,431,128
Members
666,077
Latest member
Amos akyoo
Back
Top Bottom