Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kuna kampuni nyingi duniani zinatengeneza magari bora na imara kama TOYOTA au zaidi ya TOYOTA. Lakini cha ajabu magari mengi yanayoagizwa na serikali ni TOYOTA. Je, ni ushamba na ujima kwamba...
2 Reactions
8 Replies
154 Views
Mhe. Wenje sisi wananchi wa Rorya tunakuhitaji sana Jimboni Rorya na Jimbo litakuwa wazi Oktoba, 2025. Mhe. Mbunge ameshindwa kutuletea maendeleo na mfano hai barabara ya kutoka Mika mpaka...
1 Reactions
8 Replies
304 Views
Yaani tusijidanganye hata siku moja. Watu weusi tunajisemaga tuko na maguvu etc.. Ila kwa jinsi hawa wenzetu ngozi nyeupe wanavyopiga kazi speed yao kama umekaa kibwegebwege utakuwa unalia kila...
18 Reactions
75 Replies
1K Views
Nimekaribia kuingia kwenye huu mtego aisee, nimepata single mother mzuri kinoma, ananisikiliza kila kitu , ni muislamu yupo tayari kubadili dini na kua mkristo, Yuko smart kichwani yaani naona...
25 Reactions
280 Replies
7K Views
Kuna jamii ndogo ya watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda .Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunoticeโ€ฆ. Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hatimaye CAF wamefuta hili kombe kuna timu ya ajabu kweli ilicheza hadi fainali. Sasa hivi zile medali hazina tofauti na shanga za wamasai
2 Reactions
2 Replies
3 Views
Kabla chochote hakijafanyika wanaambiana. Hapa Iran anadai US anaomba Iran ijifanye kama inapigwa ili Israel ionekane iko vizuri au imejibu. Dunia ilipofika. Wawakilishi wa Iran, Russia...
4 Reactions
17 Replies
375 Views
Wakuu habari za muda na wakati kama huu. Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead...
41 Reactions
204 Replies
5K Views
Kipindi cha Kikwete walipinga sana suala la Ufisaidi. Hili walilisimamia kidete kwa kweli tunashukuru lilisikika maana ni kweli lilitamaraki. Kipindi cha Magufuli chorus ilibadilika ikawa ni...
10 Reactions
54 Replies
475 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,024
Posts
49,404,339
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom