Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
From my experience real love is hard to find, real people are so rare! Wanawake siku hizi hawaaminiki kabisa. Their intentions is to play you and use you. The same applies to men.
Kijana msomi...
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani.
Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na...
Uchaguzi wa mwaka 2015 ulituonesha ni jinsi gani inawezekana.
Kwa miaka zaidi ya 60 sasa, viongozi wa CCM wamekuwa ni viongozi wa kujilimbikizia mali na kutoa familia zao. Kama kungekuwa na...
Serikalini ibinafsishe shirika la ndege ATCL Kwa kualika wawekezaji binafsi Ili nao iwe mwana hisa badala ya Sasa ambapo linamikiwa 100% na Serikali.
Kwa kufanya hivyo ndio shirika litaanza...
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo.
Timu yangu ilifanikiwa...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Kuna class mate wangu baada ya kumaliza secondary aliamua kwenye kusomea mambo ya kuchora ramani na ujenzi kwa ujumla, basi baada ya miaka kadhaa kupita nikamtumia picha ya nyumba na ukubwa...
Hapa ngoja nizungumze kitu kimoja, muone jinsi dunia ilivyo. Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.