Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bado sijaelewa hali hii inetokana na nini , Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo ! Je kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu ?
1 Reactions
5 Replies
52 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
339 Replies
5K Views
Kuna nchi zina shida humu duniani jamani, mfano Hait. 1. Kwa jinsi intelijensia ilivyo kali ya US, je, kwa nini washindwe kudhibiti usafirishaji wa silaha kutoka US kwenda kuchafua hali ya hewa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
260 Reactions
156K Replies
4M Views
Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua. Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi...
12 Reactions
36 Replies
596 Views
Natoa onyo kwa Mamlaka zitakazoruhusu kuingiza siasa kwenye mechi za Simba na Yanga dhidi ya Wapinzani wao kuacha kufikiria jambo hilo . Hatutarajii kwenye uwanja wa Mkapa kuona mabango ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Leo mnamo majira ya saa 3 usiku Klabu ya Tanzania Simba Sports Club itakuwa nyumbani kumenyana na klabu ya Al Ahly ya Misri katika mechi ya mkondo wa kwanza wa robo fainali wa Ligi ya Mabingwa...
3 Reactions
34 Replies
187 Views
Kuna nyimbo unaweza kuta ni tamu ila shida ni huo ujumbe ndo inakuwa ngumu kusikiliza mbele ya watu, Kwangu mm ni ule wimbo wa linah unaitwa fitina
0 Reactions
33 Replies
567 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,430
Posts
49,201,815
Members
664,011
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom