Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa, Amos Makalla akiwa Mkoani Mbeya leo, Aprili 16, 2024, amesema "Sisi tuna utaratibu mzuri, hatuwezi kupiga kelele sana, mambo mengine yanahitaji faragha, ndio...
0 Reactions
14 Replies
332 Views
Wakuu, long live to you all. Baada ya kutembeza kichapo kwa Israel hivi majuzi, kichapo cha baruti za matango hakika Iran imetuonyesha umwamba wake. Asilimia 99% ya balistic missile zote...
6 Reactions
13 Replies
358 Views
Huu uzi hauna notes nyingi karibuni.
6 Reactions
85 Replies
2K Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
39 Reactions
158 Replies
3K Views
Mzuka wanajamvi! Mji wa kisasa wa kitajiri unasifiwa kwa miundombinu bora duniani sasa hivi iko underwater mafuriko ya hatarii hadi shughuli zote kusimamia. Hii no baada ya mvua kubwa na dhoruba...
0 Reactions
2 Replies
8 Views
Hakika naona sasa ni Wakati sahihi kwa Serikali na Mifuko husika kutoa ELIMU juu ya KIKOKOTOO na Mafao ya Wastaafu ili kuwajengea Uelewa mpana Watumishi wa Umma na Wastaafu watarajiwa. KIKOKOTOO...
3 Reactions
46 Replies
812 Views
Wanabodi: Niwaletee mkasa huu wa kipekee unahusiana na pilika pilika za kujikinga na COVID-19 umemtokea jamaa yangu Jumapili ya tarehe 19/04/2020 akiwa Kanisani kwake Muhimu: Uzi huu unawafaa...
15 Reactions
2K Replies
111K Views
Na sababu Kuu ya Kuongea aliyoyaongea jana ilikuwa ni sehemu ya Makubaliano aliyopewa baada ya Mhusika kuwa Muoga na Kuwaonea Aibu Watajwa kwakuwa anajuana nao Kitambo ( wengine kupitia Baba zao )...
22 Reactions
74 Replies
4K Views
Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke...
20 Reactions
119 Replies
4K Views
Kwa wale ambao Huwa mnauliza wapi mnaweza kuwekeza na kufungua biashara basi sogezi siti. Tanzania Ina Jumla ya Halmashauri za Majiji,Miji na Wilaya 184,kati ya hizo ni Wilaya 60 ndio Zina...
0 Reactions
1 Replies
19 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,009
Posts
49,403,814
Members
665,807
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom