Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ninaongea nikiwa na uhakika, michezo hii naifahamu vizuri, Simba anaua kesho vizuri tu. Na kama mwarabu atachomoka kesho, mimi 1979magufuli natangaza rasmi kuagana na jamiiforums. Iwe jua iwe...
1 Reactions
5 Replies
79 Views
Leo sisalimii mtu. Naona kuna kampeni ya kihuni imeanzishwa kwamba as a country kuna solidarity when it comes to supporting Simba na Yanga kwenye CAFCL. Huu ni uhuni. Hakuna solidarity. Sisi...
5 Reactions
22 Replies
208 Views
Kwa wale wote mnaopenda kutuma mizigo kwenye mabasi alafu mnadanganya bei mzigo wa milioni moja unasema laki moja. Sasa kwa madereva hawa wa mabasi walivyo na mahesabu ya kitoto wanavyosababisha...
1 Reactions
2 Replies
135 Views
Ndugu zangu! Katika hali ya kusikitisha na kustaajabisha, kumekuwa na vilio vingi sana kwa watumishi wanufaika wa mfuko huo pendwa. Watumishi wanachama wa mfuko huo wanasema kuwa, ni miezi sasa...
0 Reactions
1 Replies
44 Views
Kesho Ni ijumaa kuu kwa kifupi Ni njia ya msalaba bwana yesu wetu kristo alipitia ktk mateso yake Najuwa hatutakula nyma kabsa je Ni hatari na haramu nikila samaki Msaaada naombeni
1 Reactions
38 Replies
319 Views
Facial expression na kauli za Mama leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya CAG na TAKUKURU ni kama vile Mama hakuwa na raha na GAG zaidi mzani ulielemea kwa TAKUKURU
2 Reactions
1 Replies
58 Views
Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji. Binti anamuomba Simu...
6 Reactions
82 Replies
3K Views
The Weekend - Out of Time
16 Reactions
3K Replies
58K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
11 Reactions
164 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,400
Posts
49,200,653
Members
664,016
Latest member
urioamu
Back
Top Bottom