Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani. Ni kweli Israel ilikuwa na...
2 Reactions
10 Replies
646 Views
Kuna pisi kali nimezaa nao mpaka nafsi yangu inasikia faraja; watoto wakali kuanzia sura, chura, hipsi, urefu, na wakazaa watoto wazuri hata nikiwaona kwa mbali najiona kweli nimetumia uanaume...
13 Reactions
148 Replies
2K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
382K Replies
10M Views
Natoa tu angalizo kwa sababu siyo rahisi Wanafunzi kujidhibiti kumkimbilia Mbowe na kupata Baraka zake Watoto na Vijana wanaamini kusalimiana na mtu mwenye Mafanikio ni Baraka Ni hilo tu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Utamsikia mtu anasema "hakika namchukia mtu fulani yaani sitaki hata kumwona " Huyu hajui kuwa anajidhuru yeye mwenyewe,,, kwanza anaishi na nguvu hasi ambazo zina mwangamiza na kumtafuna yeye...
9 Reactions
29 Replies
202 Views
Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
2 Reactions
62 Replies
2K Views
Ni Simba SC imetafutiwa faraja na sasa itakuwa bingwa wa Muungano kwa mashindano ya Mechi mbili tu Ni Tanzania pekee 😂😂😂🔥
2 Reactions
10 Replies
125 Views
Wengi wanamtuhumu Magufuli kuwa alikuwa ana mpango wa kujiongezea muda wa kukaa madarakani baada ya miaka yake 10 kupita, Lakini zaidi ya mara tano Magufuli alikanusha na kusema hataongeza hata...
16 Reactions
87 Replies
2K Views
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti. Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa. Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
7 Reactions
91 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,848,364
Posts
49,483,817
Members
666,713
Latest member
MC-MCHOKOZI
Back
Top Bottom