Eti?
Unarudi nyumbani unakuta watoto wanatazama katuni zao kwa raha zao, au tamthilia pendwa za kike..... unawezaje kubadili chaneli bila kuonekana katili?
Tuseme muda wa Taarifa ya Habari, au...
Wasomi wengi wanajidanganya kwamba kuonekana civilized ni kuzaa watoto wa chache, Baba angu mdogo alikua na utani wa kutuambia kwamba unazaje watoto wawili we ni Mkristu? kumbe siku hizi hata...
#FAHAMU: Abby na Brittany Hensel ambao ni mapacha walioungana mmoja wao ametangaza kufunga ndoa na Josh Bowling ambaye ni nesi na mwanajeshi mkongwe wa Jeshi la Marekani ndoa ambayo ilifungwa...
Baada ya kumsikiliza kocha wetu, mbabaishaji Miguel gamond katika mkutano na waandishi wa habari, Nimejikuta nimekata matumaini ya timu Yangu kushinda mchezo wa kesho dhidi ya kabayelo...
Serikalini ibinafsishe shirika la ndege ATCL Kwa kualika wawekezaji binafsi Ili nao iwe mwana hisa badala ya Sasa ambapo linamikiwa 100% na Serikali.
Kwa kufanya hivyo ndio shirika litaanza...
Manabii na Mitume wengi walikuwa ni watu wa Kutenda miujiza mikuu ya kudhihirisha uwepo wa MUNGU mkuu.
Mfano;
1. Musa: Alitenganisha Bahari kuwaokoa wanaisraeli.
2. Eliya: Alifufua mtu aliyekufa...
Shirika la umeme Tanesco limekuwa likihujumiwa na watendaji wake Kwa maslahi binafsi na ya Kisiasa Ili kuikomoa Serikali.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nishati na NWM Dotto Biteko baada ya...
Tunajua kwamba Mariamu alimpata Yesu kwa uwezo wa roho mtakatifu....
Lakini pia tunajua alikuwa mke wa halali wa Yusufu....
Inawezekana kweli kwamba kwenye maisha yao yote ya ndoa, baada ya Yesu...
Sauli laxury imetoweka? Mbona barabarani hazionekani? Mwenye taarifa atusaidie.
Hizi scania ni kama utambulisho wa Nyanda za Juu Kusini hasa Mbeya.
Nini kumetokea?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.