Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini, Nabii wa Mungu Godbless Lema amewataka wakuu wa vyombo vya Usalama vya Tanzania kujiuzulu mara moja kutokana na Uzembe wa kutokujua kwamba Rais anatukanwa...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
Tulishasema mara nyingi humu. Watawala wa nchi za Kiarabu na Israel damudamu Juzi wakati Iran ikiwapelekea fire wazayuni, Jordan ilishirikiana bega kwa bega na uingereza na Marekani kutungua...
4 Reactions
57 Replies
2K Views
Wamerusha baruti kama 500 Israel. Jana nzima nlikuwa Al Jazeera kuangalia madhara ya hayo Makombola. Hamna. Sielewi ilikuwa Makombora au mafataki? Madhara nilitegemea yawe makubwa sana. Maana...
23 Reactions
111 Replies
2K Views
Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni...
22 Reactions
96 Replies
1K Views
Ni nini chimbuko la uvaaji nguo za ndani.. Zililenga kusaidia nini? Na mpaka wa sasa zina imuhimu gani?
10 Reactions
101 Replies
2K Views
Kama Una frame ndogo mjini sehemu iliyochangamka nicheki pm
2 Reactions
4 Replies
56 Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
17 Reactions
1K Replies
49K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa tathmini ya athari ya miundombinu ya barabara nchini imebaini hadi kufikia jana Aprili 14, 2024 kuwa Wizara ya Ujenzi inahitaji kiasi cha...
2 Reactions
8 Replies
400 Views
Naomba mwenye soft copy ya civil procedure law by Chipeta
0 Reactions
1 Replies
13 Views
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni...
1 Reactions
8 Replies
9 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,939
Posts
49,401,427
Members
665,780
Latest member
lucysAloyce
Back
Top Bottom