Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Eti kawalika wasanii waje wamsadie kupokea mwenge Kina baba level , diamond nk wote wako pangani kukeshq na mwenge Wilaya nzima Ina watu elf 70 Nimeambiwa wamelipwa milioni 600 jamaa wafanye...
0 Reactions
4 Replies
37 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Hizi ni tetesi zinasambaa kwa kasi mtaani japo hakuna mtu aliyejitokeza kushuhudia na kuthibitisha ukweli wake Naomba kama yupo mwenzetu ndani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Tumugoje tumuleshe? Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?" Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke...
21 Reactions
152 Replies
5K Views
Wakuu mambo vipi, leo naomba tufanye kushare kila mtu jinsi alivyochomoka Nyumbani kwao.. Hii itatoa hamasa kwa wale waliokua nyumbani na kuogopa kuhama na kuanza kujitegemea. Janga hili...
138 Reactions
7K Replies
832K Views
Majumuisho ya kesi mkakati zilizotolewa tangu miaka ya nyuma kuanzia 1983 hadi 2022 na maamuzi ya hukumu yakiangaziwa kwa kina kuona maamuzi ktk hukumu hizo NGURI WA SHERIA WAKUTANA JUKWAA MOJA...
0 Reactions
3 Replies
45 Views
PLN 0001 2BR Ramani ya Vyumba Viwili Living room (Sebule) 1 Master bedroom with a Dressing room (W.I.C) 1 Single bedroom Kitchen (Jiko) Public toilet (Choo cha jumuiya) Ramani hii ina privacy...
31 Reactions
445 Replies
34K Views
Kuna watu humu walianzisha mahusiano kwa mbwe mbwe sana, mpaka sisi ambao hatukuwa na mahusiano tukajiona labdo dunia hii sio sehemu yetu sahihi ya kuishi. Ilikuwa kila sehemu wakipitia nyuzi...
38 Reactions
713 Replies
13K Views
Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko. Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini. Mfano ni huu hapa👇 1. CPA. William E. Mtinya...
4 Reactions
21 Replies
588 Views
Simba sc wameweka kambi ya 4 Zanzibar kwa ajili ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Yanga,waliwai kufanya ivyo dhidi ya Alhaly. Ikumbukwe Simba pre season ilifanyika Uturuki,tofauti...
0 Reactions
4 Replies
269 Views
Mwaka jana mwishoni niliexperience hio kitu, asikwambie mtu. Acheni mapenzi yawe kitu chenye nguvu kubwa duniani. Mimi nimekua nikiona watu wanalizwa na mapenzi, ila niliwachukulia wanyonge wa...
9 Reactions
314 Replies
8K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,037
Posts
49,404,895
Members
665,810
Latest member
Edga wakota
Back
Top Bottom