Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Homa ya Kariakoo Derby inazidi kupanda, siku ya kumaliza ubishi imewadia. Leo jioni kuanzia saa moja miamba hii itakutana kutafuta point tatu muhimu kuendeleza marathon za Ligi Kuu ya NBC. Yanga...
28 Reactions
936 Replies
24K Views
Nauza Toyota Raum old kwa 8ml. Gari liko Tabata liko vizuri sana mkoa nia ujaza full tank zako nakutembea. Mawasiliano 0758 350 943
0 Reactions
24 Replies
789 Views
Habari wakuu, najua wengine humu tayari mmesha oa au ni wazazi tayari. Ningependa mtupe uzoefu wenu, kuwa uli jisikia vipi kwa Mara ya kwanza baada ya kugundua wewe ni mzazi mtarajiwa. Kuna kipi...
25 Reactions
282 Replies
4K Views
Mkutano wa Msemaji Mkuu wa Serikali na Waandishi wa Habari Mobhare Matinyi Msemaji Mkuu wa Serikali. https://www.youtube.com/live/kSVvi88SDRM?si=OoFoglhEi2j10Okn
1 Reactions
3 Replies
79 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
ISIS wamewateketeza wakiwa hai wasichana 19 kutoka Yezidi waliokataa kusilimu na kuwa watumwa wa ngono. Jamii ya watu wasio waislam imejipanga kufanya maandamano kupinga hatua hiyo iliyovuka...
11 Reactions
85 Replies
1K Views
ipo hivi mimi ni mwalimu, mfanyabishara na mkulima , mimi ni mkopaji mzuri sana , nilikuwa na mkopo kupitia salary nilikopa 2019 NMB, nimekuwa na mkopo wa biashara nimekopa CRDB, kwa sasa...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Huyu Kaka tulisha mshauri tangu ana oa aache kuoa mke asie jua tamaduni au miiko la kabila letu, sasa ona kilicho tokea hayo makabila ya kiswahili swahili hawana miiko ndo maana unakuta wengine...
9 Reactions
82 Replies
2K Views
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine 🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
24 Reactions
467 Replies
5K Views
Ni Tukio nisilo weza lisaau kamwe kwenye safari ya Maisha yangu ya kuisaka Elimu Na natamani siku moja Dr Alex Malasusa akipata nafasi ya kukutana nami au kama anayo nafasi kupitia hapa Jamii...
3 Reactions
12 Replies
389 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,067
Posts
49,441,629
Members
666,183
Latest member
gearbox
Back
Top Bottom