Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Boniface Jackob , Ambaye ni Meya wa Zamani wa Manispaa ya Kinondoni na Baadaye Ubungo , ambaye kitaaluma ni Mtaalam wa Mahesabu ya Fedhq , ameita Waandishiwa Habari asubuhi hii ili kuchambua...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
1 Reactions
21 Replies
186 Views
Kwenu wakuu. Nimtangazaji aliyekuwa na sauti laini na nyororo, aliwahi fanya kazi Sahara Media na baadaye naskia alihamia Azam Media. Nilikuwa nafatalia sana kipindi chake cha search line pale...
0 Reactions
16 Replies
410 Views
Jamani wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema. Nimeona ndugu yangu Mlundilwa Jr kaandika uzi wake akisema alimwambia dogo atoe elf20 lakini akagoma akasema bora atafute mwanamke aimalizie huko...
11 Reactions
44 Replies
817 Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
19 Reactions
1K Replies
58K Views
Habari wana jf kuna ishu inachanganya huku, kuna harusi miezi 3 ijayo sasa huyu binti anayeolewa anababa yake mzazi ambaye Hakushi naye alikuwa anaishi na mama yake wa mzazi wa kumzaaa na baba wa...
11 Reactions
186 Replies
6K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
40 Reactions
50K Replies
3M Views
Msumi ni Kilometer chache sana kutoka stendi ya mabasi ya Magufuli. Sasa cha ajabu ni kwamba Msumi ipo kama vile hata wakuu wa Mikoa waliopita hapo Dar na wasasa si ajabu hawajui iko upande gani...
17 Reactions
115 Replies
3K Views
“Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “ Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini...
2 Reactions
10 Replies
69 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,733
Posts
49,428,295
Members
666,047
Latest member
Projas
Back
Top Bottom