Serikali Imepunguza Bajeti ya Nishati Kwa zaidi ya Trilioni 1.
Unajiuliza Kwa nini upunguze Bajeti wakati Kuna Mikoa Iko off grid eg Rukwa,Katavi,Lindi na Mtwara?
Pili unapunguzaje Bajeti wakati...
“Wafanyabiashara wanashughulika na biashara, huku wanasiasa wakishughulika na siasa.” Katika Maonyesho ya 135 ya Canton, yaliyofunguliwa wiki hii, mwagizaji wa Marekani Steven Selikoff...
KIA Airport mimepita karibuni nikitokea Doha, walishuka watalii zaidi 200.
Bahati ilikuwa asubuhi nimeweza kuona vizuri mandhari na mazingira yake, ni Airport iliyo eneo zuri na panaweza...
habari wadau
nilikuwa na utafiti binafsi wa mambo ya ndoa kwa ajili ya kukamilisha research thesis for academic reasons.
nilifika Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia Temeke na kufanikiwa...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Muungano ni wa Nchi 2 Tanganyika na Zanzibar na ikazaliwa TANZANIA.
Zanzibar ipo ina Mihimili yote Mitatu yaani SERIKALI BUNGE na MAHAKAMA pia BENDERA na Wimbo wa Taifa.
TANGANYIKA Haipo hakuna...
My Take
Kama hili ndio Geti la Bilioni 2 Basi Tanzania tuna pesa nyingi sana za Kuchezea.
Tukumbuke na wengine
https://www.instagram.com/p/C6Gs1HcIp0b/?igsh=eW5yeWNjaXJ3b3A2
Nina swali muhimu, kuna mmasaai yeyote yuko UK anataka dili la ku-shoot tangazo? Kama vipi ni-PM, nitawasiliana zaidi wikiendi kama mambo poa. Sitaki mmasai feki.......dili ni 50/50 nasubiri...
Kauli ya Mbowe inanikumbusha Swali la Mungu wa Mbinguni na Majibu ya Adam pale Eden
Mungu: Adam kwanini umekula tunda nililokukataza usile
Adam: Ni huyu mwanamke uliyenipa ndio amenidanganya...
MJADALA WA WACHANGIAJI M1 JF Jukwaa la Historia 2013
Yericko Nyerere (pichani) miaka 11 iliyopita alifungua uzi JF kwa nia ya kupinga historia ya uhuru wa Tanganyika kama nilivyoieleza katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.