Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Eti ndugu zangu makolo ...Kwa mfano Kesho Tena makolo mkafungwa 5 na yanga....mtafanyaje[emoji23][emoji23]
3 Reactions
11 Replies
12 Views
Naomba niwasilushe kero langu linanonisumbua nikiwa pamoja na wenzangu tupate ufumbuzi. Tunaomba kujua ni lini chuo cha Western Tanganyika kilichopo kigoma itawapa wanafunzi wake waliohitimu chuo...
0 Reactions
1 Replies
29 Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
19 Reactions
1K Replies
57K Views
Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini...
30 Reactions
108 Replies
2K Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
7 Reactions
445 Replies
9K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Wakuu, Wewe mbunge unajua upo hapo kuwakilisha wananchi, au unawakilisha kundi fulani kama watu wenye ulemavu nk, lakini mwanzo mwisho mama ametenda hiki, mama ametenda kile, hakuna kama yeye...
3 Reactions
27 Replies
511 Views
Ipo hivi, kuna mdogo wangu mtoto wa mama mkubwa kaolewa Arusha, sasa akikwama mambo ya hapa na pale huwa namsaidia maana tumezoeana sana kwahiyo haonagi shida kunishirikisha akikwama. Sasa...
24 Reactions
71 Replies
1K Views
Kabla hata report ya CAG haijatoka kamati ya kuombea watuhumiwa msamaha kwa Mama ilikuwa imeisha anza kazi zake ikiwemo kuwaita watuhumiwa na kuwahoji na kuwataka wakili makosa na kuahidi kuto...
1 Reactions
8 Replies
218 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,717
Posts
49,427,612
Members
666,043
Latest member
mkamburi kilasama
Back
Top Bottom