Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Waungwana. Nawasalimu kwa jina la jamhuri. Nauli zilizowekwa hivi karibuni ni za kumtesa mwananchi na ukiangalia kwa kina haina tija hata kwa serikali yenyewe. Hapa kuna tatizo kubwa la...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Imetokea jana huko mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu. Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanga kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na...
2 Reactions
10 Replies
74 Views
Watanzania biashara wanayoimudu ni Kuuza maneno yaani Siasa na si zaidi ya hapo Wamepewa Mwendokasi imewashinda wakaishia Jela Waarabu Wana history ya kufanya vizuri Kwenye Sekta ya...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ingawa wakristu wanajieneza kwa kupinga sana uislamu, ni wazi kwa nini uislamu umekuwa unasambaa sana Marekani siku za hivi karibuni huku ukiristo ukisinyaa. Mim ni nilikuwa nasali kanisa la...
9 Reactions
80 Replies
2K Views
Pamoja na hii mikwara yao utashangaa anakufa 3-0 siku ya Ijumaa pale Lupaso. Nimependa mikwara yao japo mtu mzima hatishiwi nyau.
2 Reactions
24 Replies
1K Views
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
4 Reactions
35 Replies
514 Views
Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq wanaoshiriki katika muungano wa makundi ambayo yamefanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel ameiambia Newsweek kuwa vikosi vyake viko tayari...
0 Reactions
15 Replies
314 Views
Niajee wakuu, Mazoezi ni muhimu sana. Shauri yenu!!! Mwanaume ata kupiga push ups 10 huwezi, kukimbia nayo huwezi, ata kutembea mdogo mdogo km ½ nayo huwezi. Achaneni na chips yai wazee pigeni...
6 Reactions
43 Replies
655 Views
Kuna class mate wangu baada ya kumaliza secondary aliamua kwenye kusomea mambo ya kuchora ramani na ujenzi kwa ujumla, basi baada ya miaka kadhaa kupita nikamtumia picha ya nyumba na ukubwa...
14 Reactions
55 Replies
3K Views
Huyuu👇👇 Kajisahau.. Huenda anahisi katoboa. Anamess na population moja inayoweza muamulia mtu maisha. Mshaurini aendelee kupambana na Break Ups zake.
7 Reactions
43 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,213
Posts
49,194,044
Members
663,952
Latest member
Eber Manya
Back
Top Bottom