Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa muda mrefu nimefanya personal study kuhusu ubora na dhima ya vyama vya wafanyakazi Tanzania vikiongozwa na chama mama TUKTA na kuja na hitimisho kuwa , VYAMA VYA WAFANYAKAZI TANZANIA NI KANSA...
1 Reactions
3 Replies
27 Views
Hakika dawa ya mtu muongo huwa ni fupi sana. Kumekuwepo na propaganda chafu zikienezwa kwa makusudi na watu kutoka CCM kwa makusudi ili kuleta mpasuko ndani ya CHADEMA. Wanasema eti Msigwa...
3 Reactions
28 Replies
827 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) hufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha za umma ili kuthibitisha matumizi yamefanywa kwa mujibu wa sheria na kanuni husika na kuna uwazi katika...
2 Reactions
18 Replies
727 Views
Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga apa sinza basi Kuna vibint vinasoma chuo cha ustaw wa jamii mwenge, vikitoka chuo tuu wanaanza makerere yao mpaka usiku wa...
6 Reactions
36 Replies
255 Views
Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike...
0 Reactions
14 Replies
122 Views
Wafanyakazi kutoka nje ambao wamefanyakazi hapa nchini,Kwa miaka mingi,wanalipwa mafao yqo yote bila kujari kikokootoo,Kuna haja kuhusisha wenye mafao katika kuamua wapewe kiasi Gani,kuepuka...
0 Reactions
4 Replies
46 Views
Kutokana na upole wake, macho ya mahaba, chura iliyothibitishwa kimataifa, sura ya kuvutia, kiuno kilicho katika, hana majivuno, anajua umuhimu wakuwa mwanamke, anahakikisha namaliza hamu zangu...
6 Reactions
12 Replies
105 Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
33K Replies
2M Views
Shalom, Ninawajibu wa kuwapa taarifa, kuwasanua, na kuwakumbusha kuhusu umuhimu wa kuyaenzi mapenzi katika namna yenye ubora, tija, yenye kuacha Alama ama Legacy katika mapenzi. Unapoingia...
4 Reactions
44 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,619
Posts
49,423,668
Members
666,012
Latest member
mzanzibar_4_real
Back
Top Bottom