Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku Leo Sina pesa kabisa ya kula...
1 Reactions
9 Replies
107 Views
Kuna siasa za majibizano zinaendelea ndani ya uongozi wa juu kabisa wa CCM na serikali kuu. Mheshimiwa Nchimbi haonekani kufurahishwa na hulka za kikazi za RC wa Arusha na hakai na kitu moyoni...
7 Reactions
76 Replies
3K Views
Ndio nilikua nimemaliza tu chuo kikuu, na nilikua na kiasi cha tsh laki5 tu, cash in hand, fedha ambazo nilikua nikijibana bana na kudunduliza nikiwa chuo kwa madhumuni haya haya ya kugombea...
5 Reactions
15 Replies
193 Views
Mzee Emil Lesheya Woiso amefariki leo asubuhi. Msiba upo nyumbani kwake Tegeta karibu na IPTL. Alikuwa mmiliki wa Tarakea Restaurant pale Mwenge na Cornelius Girls Secondary School pale Tegeta...
16 Reactions
141 Replies
8K Views
Habari zenu; Kama hujawahi juiliza basi jiulize Je nani alimtoa mke wako bikra?Kama ni wewe je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani? Ni ukweli...
12 Reactions
173 Replies
25K Views
Nimeona Taarifa Ya Utenguzi wa Mkurugenzi wa Mafia. Kiukweli Nimefarijika sana na Nimeona Kweli haki imetendeka na Imeonekana Ikitendeka.. Ni wazi kuwa Nchi imepata Viongozi waadilifu Na hasa...
7 Reactions
21 Replies
933 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini. Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za...
4 Reactions
28 Replies
667 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,789
Posts
49,429,471
Members
666,056
Latest member
regluccy
Back
Top Bottom