Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Laana ya rasilimali "resource curse" ni ile hali ya nchi zenye kuwa na rasilimali nyingi kuwa na maendeleo duni, ufisadi mkubwa, migogoro na demokrasia hafifu kutokana na wingi wa rasilimali ilizo...
8 Reactions
29 Replies
337 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia watu kumi na mbili kwa tuhuma za kukutwa wakila mchana hadharani kipindi hiki cha Mwezi mtukufu wa Ramadhan ambao wanaifanya kuwa...
14 Reactions
399 Replies
7K Views
Hii ndio habari ya mjini Kwa wale wapenda magari mazuri Hizi ni gari shindani kwa sababu zote zipo kundi moja la COMPACT SUV. Zinafanana sifa katika utendaji kama vile: 1. Ukubwa wa umbo 2...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari! ndugu zangu wenye magari mabovu tupeane faraja, ushauri na motisha wa namna ya kuishi nayo ingawa yanatupasua vichwa! Uzii huu ni rasmi kwetu wenye magari yaliyo na changamoto! Nyie wenye...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Juzi tumeanza kwa kutoa Sadaka kwa Watoto Yatima na Wasiojiweza na Leo Alrajiri Jini ameshashibishwa Chakula chake pendwa cha Damu huku Watu Maalum wakifuata Kitu fulani Ajalini ambacho Babu...
1 Reactions
14 Replies
96 Views
Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu...
5 Reactions
90 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
120 Reactions
505K Replies
28M Views
Kuna vitu ambavyo watu wengine wanaona kama trend au kawaida ila Mimi siwezi kufanya au kumiliki.Mfano kuweka na mito mingi kwenye kitanda, kuwa na Snapchat kwenye simu au account ya TikTok n.k...
18 Reactions
260 Replies
3K Views
Mwanaume mmoja Zanzibar amekutana na kibano na kipigo baada ya kula mchana kipindi cha Ramadhan. Mpaka sasa hakuna tamko lolote dhidi ya watu hao wanaojichukulia sheria mkononi ingawa jeshi la...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,840,560
Posts
49,205,489
Members
664,060
Latest member
Mwico_jnr
Back
Top Bottom