Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wana familia wa JF, Humu ndani naamini wapo watanzania ambao wanaishi Marekani kwa nguvu ya GREEN CARD. Kwa faida ya wengi, naomba yeyote anayejua au amefanikiwa kuwa na Green Card ya Marekani...
0 Reactions
14 Replies
181 Views
Hellow wakuu. Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku...
35 Reactions
565 Replies
43K Views
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema limelazimika kuzima mitambo mitano kwakuwa majitaji ya umeme yapo chini huku uzalishaji wa umeme ukiwa ni mwingi. TANESCO imesema hayo wakati Afisa wa...
0 Reactions
3 Replies
7 Views
kabla yay kuamua kufunga ndoa mliishi uchumba kwa kipindi cha muda gani? maana naona saivi watu wanaishi uchumba na wanazaa na watoto kadhaa kabisa, lakini hawana habari ya kutambulishana makwao...
0 Reactions
2 Replies
9 Views
Wakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
2 Reactions
45 Replies
648 Views
Utasikia, fulani alikuwa jambazi hapo zamani kwa sasa kaokoka, fulani alikuwa tapeli sugu hapo zamani kaamua kuokoka au fulani alikuwa mbakaji hapo zamani kaamua kuokoka. NONSENSE, UJINGA...
13 Reactions
94 Replies
1K Views
Leo tukiwa kwenye kikoa Cha viongozi wa casfeta hapa mlimani, kikao kilianza Mida ya kumi na tulikuwa watu (viongozi kumi) wasichana sita na boys 4. Basi kipindi kikao kinaendelea nikatoka...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linatoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ya uongo na uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha Robart Mushi @ Babu G. ambaye...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
18 Reactions
131 Replies
5K Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
21 Reactions
2K Replies
12K Views

FORUM STATS

Threads
1,847,954
Posts
49,470,827
Members
666,530
Latest member
HilariCreator
Back
Top Bottom