Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika jitihada za kuongeza ajira kwa kundi kubwa la vijana wanao hitimu elimu ya vyuo vikuu, tunaishauri Serikali kupitia wizara husika kurekebisha umri wa kustaafu watumishi wa umma uwe miaka 50...
0 Reactions
1 Replies
7 Views
Video inajieleza PIA SOMA: - Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)
9 Reactions
161 Replies
3K Views
Mtangazaji Mahiri wa Clouds FM, Gadner G. Habash (50) amefariki Dunia Leo April 20, 2024. Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu Mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi, alikua amelazwa...
34 Reactions
330 Replies
13K Views
Habari, kwanza kabisa nitoe salam zangu za pole kwa majirani zetu Kenya kwa msiba wa CDF na wafuasi wake katika ajali ya ndege ya kivita iliyotokea tarehe 19/04/2024 wakiwa katika ziara za kikazi...
6 Reactions
38 Replies
641 Views
Salaam wakuu, Pamoja na kuwa mchambuzi wenu mahiri hapa mjini JF ( najua wale wa kubeti, mnaelewa How nimewasidia sana kwenye ubashiri na kuweza kumfirisi muhindi. Back to the topic Leo mida ya...
5 Reactions
11 Replies
177 Views
Niaje waungwana, Leo nimeamua nije na ukweli ambao baadhi ya ndugu zetu wayahudi wa bonyokwa, tangibovu, kiembe mbuzi na buza hawaujui. Hii ni kwa sababu wale wachache wenye kuujua huu ukweli...
8 Reactions
103 Replies
3K Views
Katibu mkuu Nchimbi,katibu mwenezi Amosi Makala,Alli Hapi wazazi,na Joketo Mwegelo vijana bado hata robo ya amshaamsha ya MAKONDA hata robo yake hamjamfikia kulikoni? Mngedoda sana, bahati yenu...
3 Reactions
8 Replies
212 Views
Mi nimezaliwa Dar na Nimekua Dar, nimejipambania kutafuta kile Mungu amenijalia kilicho kidogo changu, Ila nafsi mwangu mi sitaki chochote Cha urithi iwe kwa Familia yangu niliozaliwa yaani kwa...
1 Reactions
5 Replies
22 Views
Waswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi Mtu mmoja...
8 Reactions
33 Replies
799 Views
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe. DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
2 Reactions
45 Replies
276 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,986
Posts
49,437,220
Members
666,153
Latest member
fifiii
Back
Top Bottom