Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyu Ney naye ni team kataa ndoa ? Au ametumia tu kazi ya sanaa kufikisha ujumbe wake ? Sikiliza ngoma lake hili la bachela
2 Reactions
31 Replies
415 Views
Ikiwa ni mwaka wa tatu(3)tangu SSH achukuwe kijiti cha uraisi kumekuwa na utitiri wa PhD za kutunukiwa mfululizo ambazo kimsingi nashindwa kuelewa muktadha wake ni nini Yawezekana akawa na sifa...
0 Reactions
9 Replies
144 Views
Hi kauli ya marehemu iliyowai kuzua gumzo kila Kona ya nchi na nnje, jamaa alishiba pesa za kusaga akaanza kutoa kauli zenye utata, ati mwanamume lzm uwe na pesa ndio umuoe binti ake yaani uwe...
9 Reactions
125 Replies
2K Views
Na. David Kafulila NIMELAZIMIKA kushika kalamu ikiwa ni baada ya kusukumwa na andiko la ndugu na jamaa yangu wa miongo mingi na aliyepata kuwa Mbunge wa Jimbo la Ubungo...
32 Reactions
170 Replies
5K Views
Majuzi gari langu lilipata shida. Nilianza kupita maduka ya spea kutafuta spea za gari. Nilishangaa kuona taa tu ya baadhi ya magari zianauzwa hadi milioni 1.5. Tena si magari ya bei mbaya kwamba...
4 Reactions
10 Replies
265 Views
Miaka 30 ni mingi sana kukaa hapa duniani sio tu kukaa nyumbani, inabidi uwe umesha leta impact. Kuna watu kabla ya hiyo miaka walishafanya makubwa sana hadi sasa bado wanakumbukwa kwenye...
14 Reactions
54 Replies
1K Views
Salaam wakuu! Sisi sote ni watanganyika na wazanzibari tunaoishi kwa kupendana kwa kudumisha udugu wetu. Naomba mwenye sample ya andiko la mrad wowote anisaidie. Kama mtanganyika nahitaji...
2 Reactions
19 Replies
775 Views
Wapo walioapa kuilinda na kuitetea katiba lakini wanasema muungano uvunjwe. Haya ni madhara ya mtu kuapa dhidi ya kitu asochokielewa. Mtu anaapa kuilinda katiba je hiyo katiba anaielewa? Nimara...
0 Reactions
4 Replies
120 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
121 Reactions
510K Replies
29M Views
Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili ! Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa! Kama nyumba ya zamani...
4 Reactions
9 Replies
75 Views

FORUM STATS

Threads
1,848,093
Posts
49,473,998
Members
666,584
Latest member
Johnbosco4256
Back
Top Bottom