Nimepiga energy ya Azam tokea saa sita hadi sasa hivi wala hakuna njaa nasikia
Nadhani kinywaji hiki itasadia wengi Ila tafadhalini usinywe zaidi ya mbili kwa siku
Leo Sina pesa kabisa ya kula...
Leo nimeona niruke na kupepea kimadoido na vijana mlioko/mlihitimu vyuo vikuu na wadau wote wa maendeleo ya vijana katika ardhi ya bibi kizimkazi na haya mambo kadhaa ya muhimu yampasayo kijana...
Boby Risky amehukumiwa kwenda jela kwa kosa la kukanyaga fedha ya Naira.
Hakimu amemuondolea kipengele cha kulipa faini, ili aende jela moja kwa moja.
Naona wali msaka long time, Sasa ame jaa...
Kumekuwa na visa vingi vya kuvunjika kwa ndoa hasa ndoa changa huku wivu na usaliti baina ya wanandoa vikitajwa kuwa vyanzo vikuu.
Labda ni wakati muafaka kwa mafunzo ya jando na unyago...
Kwenu wakuu.
Nimtangazaji aliyekuwa na sauti laini na nyororo, aliwahi fanya kazi Sahara Media na baadaye naskia alihamia Azam Media.
Nilikuwa nafatalia sana kipindi chake cha search line pale...
Ndege iliyombeba Mkuu wa Majeshi ya Kenya (KDF) Jenerali Francis Ogolla imepata ajali muda mchache baada ya kuruka angani.
Bado Taarifa rasmi haijatolewa juu ya Usalama wao, lakini taarifa za...
Hawa wenzetu wanazeeka haraka sana jamani jana nilikuta na class mate wangu ila ilikuwa ngumu sana kumgundua hadi nilipo mchunguza kwa makini ndio kuja kugubdua ni class mate wangu wa sekondari...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.