Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukimtoa Malkia Elizabeth II basi hakuna kiongozi mwengine wa kifalme aliyeiongoza uingereza kwa miaka mingi zaidi kumzidi Malkia Victoria kwa miaka 64 ....Ndio malkia Victoria ndio jina Lake...
1 Reactions
12 Replies
230 Views
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali...
30 Reactions
518 Replies
11K Views
... 🚨 𝙊𝙁𝙁𝙄𝘾𝙄𝘼𝙇 & 𝘾𝙊𝙉𝙁𝙄𝙍𝙈𝙀𝘿 Michuano ya CAF Confederations cup iliyoanzishwa rasmi mwaka 2003 imefutwa rasmi na Shirikisho la soka Barani Afrika kuanzia msimu ujao 2024/25. Kutakuwa na mashindano...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nauliza huyu Mwanamama anayeitwa Mange Kimambi ameshindwa kabisa kudhibitiwa kwa Tabia zake za Kutukana, Kudhalilisha, Kuumiza na hata Kuharibu Maisha ya Watu?? Tangu aanze haya Mambo ya Kutukana...
64 Reactions
669 Replies
61K Views
Kwani na Wao Yanga SC kuna Mtu yoyote labda aliyewazuia wasiende kuweka pia Kambi huko huko Zanzibar? Kimewauma nini wakati Wao Kutwa wanatamba na tunajua kuwa ni Timu bora Tanzana, Bingwa Mtetezi...
1 Reactions
10 Replies
182 Views
Kiukweli kila nikiwaangalia viongozi wa Simba nyuso zao hazina Nuru tena, imebaki Bora liende tu na kwasasa mzigo mzito upo kwa kocha wao benchika, Siku ya mechi na singida black star ilibidi...
6 Reactions
6 Replies
127 Views
Jambo hili jipya limeonekana Msimu huu baada ya mbio hizo kujaza Wasanii na matapeli maarufu kutoka D'Salaam kila unapokuwepo Mwenge huo Katika uchunguzi wetu hatujaona miradi yoyote...
5 Reactions
26 Replies
448 Views
Maana wote wametoka kimuziki Gerezani kariakoo Abby skills kwao mtaa wa kipata Queen Doreen dada yake Mondi anatokea mitaa hiyohiyo aliwahi kuwa video vixen wa kazi ya Abby Skills na Mr Blue -...
1 Reactions
1 Replies
25 Views
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa...
265 Reactions
161K Replies
4M Views
Hii ni kwa Mujibu wa CAG "Nilibaini kuwa Bohari Kuu ya Dawa ilinunua mashine 10 za kuondoa maumivu, ukakamavu na mkazo wa misuli (Diathermy) kwa bei ya shilingi milioni 136.7 na kuacha kununua...
1 Reactions
5 Replies
112 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,075
Posts
49,406,434
Members
665,832
Latest member
Ezirom
Back
Top Bottom