Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimekaa nimewaza na kuwazua nimeona kuuliza si ujinga; hivi huyu aliegundua herufi alikuwa anawaza nini mfano:
A tunasema ei, na hapo alianza gundua A alijuaje kuna herufi la 5 E na la 9 I...
Zanzibar watalii wanne wa Ki Israel wametimuliwa baada ya kuleta fujo ndani ya hotel baada ya kuona gari la manager wa Hotel Hiyo Ina stika za Free Palestine
🚨🇮🇱🇵🇸 FOUR ISRAELIS were KICKED OUT...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kipolisi Rufiji linamchunguza aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia (DED), Mkoa wa Pwani, Kassim Ndumbo kwa tuhuma za kufanya ngono na mfanyakazi...
Uwe unaamka umwangalie je kajifunika vizuri shuka mwenza wako. Ukiona hajajifuka mfunike vizuri sijasema ukimuona Sele au Aisha yuko wazi usimtamani ukaanza papaso ili...
Ila cha saa kumi huwa...
Shalom,
Kwenye injini ya gari ubora wa Piston ndio injini yenyewe.
Maisha ni ladha, raha na utamu nao utamu ni pamoja na kuusikilizia. Sasa Mkataa kuoa kama kuna namna ya kupindua mtazamo basi...
Muigizaji maarufu Anorld Swazenegger akiwa katika picha ya pamoja na stunt man wake. Stunt ni mtu mwenye ufanano anaecheza vipengele hatari kwa niaba ya mhusika mkuu
Hawa ma stunt ni watu wenye...
Nilipogundua hili nikawa sasa naangalia faida zaidi katika kuzishabikia hizi teams. Hakuna mwenye akili anashabikia hizi teams. Au mwenye uwezo mzuri kiuchumi
Ukiona hawa wenyewe uwezo wapo hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.