Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
922 Reactions
1M Replies
39M Views
Hii ni kwa wote wanaopenda kusafiri. Nachukua nafasi hii kusema kwamba asanteni kwa wote wanaofatilia nakali hizi za Huku Abroad. Leo nataka kuelezea njia moja wapo ambayo watu wengi pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
94 Views
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
1 Reactions
16 Replies
126 Views
Kutoka kwa mchambuzi wa masuala ya soka, Edo Kumwembe ambaye amefunguka sakata la mshambuliajiwa Pyramids Fc ya Misri, Fiston Mayele kuwatupia madongo waajiri wake wa zamani, Klabu ya Yanga...
6 Reactions
46 Replies
741 Views
Kama huna kitu, huna thamani na huo ndo ukweli. Hasa kwa sisi wanaume thamani yetu inaambatana na mafanikio tuliyo yapata kwa juhudi na maarifa yetu. Vijana wengi tunapoteza valuable time...
6 Reactions
12 Replies
158 Views
Na Mwandishi Wetu, Musoma CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Makamu Mwenyekiti wake Tanzania Bara, Abdulurahman Kinana amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anafanya mambo makubwa ya maendeleo kwa...
4 Reactions
55 Replies
931 Views
Chama umepewa, kusimamia serikali na Ilani ya chama. Ila kuna sehemu unakwama. Jambo utakaloliweza ni kukutuliza chama/kupunguza kasi ya vuguvugu chamani. Ila huku kitaa unapwaya. Wanao kuja...
2 Reactions
27 Replies
552 Views
Nimeona nije na uzi maalum wa kupeana updates wa vita mpya inayotarajiwa kulipuka kati ya Iran na Israel muda wowote kuanzia sasa Inaonekana inayokuja mashariki ya kati itakua sio ya mchezo...
19 Reactions
1K Replies
58K Views
“Wananchi wa Nzega Vijijini walishatoa msimamo Mh. Rais alipotembelea pale kwamba hawana la kuomba zaidi ya kumshukuru Rais “ Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,728
Posts
49,428,192
Members
666,043
Latest member
mkamburi kilasama
Back
Top Bottom