Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naifuatilia ziara yenu toka ilipoanza, hamna jipya kwa wananchi zaidi ya kupambana na Makonda kwa mafumbo. Tulitegemea muisimamie vyema serikali yenu, hasa Watumishi wazembe na wezi wa mali ya...
12 Reactions
77 Replies
1K Views
Kaka zangu..... Hebu kabla hatujalala tuambiane kakitu. Kuna wanawake Mungu amewapa tu akili nyingi. Yaani naturally tu ana akili sana, ana mawazo ya mbali sana, ana upeo mkubwa, amekomaa...
4 Reactions
10 Replies
127 Views
Wezi wa kazi za wasanii wa zamani walikua majahiri sana , wanaweka Hadi anwani 😂🤣
0 Reactions
1 Replies
13 Views
Tunaopata tabu ni Sisi Wananchi, kwa hali hiii jamani tafadhali halizetu mbaya, Abiria tunakanyaga matope ili tuingie kwenye Daladala. Hali ni hatari kwa mlipuko wa magonjwa, hii inatia kinyaa...
0 Reactions
3 Replies
78 Views
Kwenye mpira wa kurusha. Adui akitoa mpira karibu na lango lako na ukatakiwa kurusha inakuwa kama unajishambulia. Kosa wamefanya timu pinzani na umepewa mpira wa kurusha. Lakini kwa vile...
4 Reactions
15 Replies
351 Views
Hamjambo wana jf, Kwanza nianze kujitambulisha mimi ni mkristo ninayempenda yesu. Swali langu ninaomba kufafanuliwa juu ya maneno haya. 1. Kanisa ni mtu ama mkusanyiko wa watakatifu ama...
3 Reactions
48 Replies
409 Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
1 Reactions
29 Replies
162 Views
The decision has been made by Israel to attack Iran. Timing is now the issue for the attack 17 APRIL 2024 An Israeli strike against Iran and their Nuclear facilities may be just hours away...
1 Reactions
6 Replies
280 Views
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile. IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa...
13 Reactions
205 Replies
3K Views
Niaje waungwana Natanguliza shukran zangu kwa Mungu wangu alienipa uhai mungine, na afya njema siku ya leo. Leo nimeamua kuleta uzi huu hapa mbele yenu, ili kila moderator na member wa jukwaa...
1 Reactions
1 Replies
17 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,466
Posts
49,418,666
Members
665,948
Latest member
MBATIZAJI SAUTI YA RADI
Back
Top Bottom