Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Ni kama kasumba ya mipira inayoelekea golini kugonga kwenye mstari wa goal inaendelea kuwa mwiba mchungu kwa timu ya Yanga. Tena katika mechi muhimu ambazo wanahitaji matokeo ya ushindi. Ukianza...
Kazini nanyanyasika sana. Pamoja na kuwa nina jina ambalo si la kikafir ila ubara wangu umekuwa kama kikwazo kwao.
Hapa mimi nmekuja kufanya kazi na ninajituma kiasi kuna wakati Boss anasema bila...
Mzuka Wanajamvi!
Mwamba bilionea mstaarabu mtangazaji na mwandishi wa habari maarufu nchini Millard Ayo ameniacha hoi na mdomo wazi alivyovaa kwenye msiba wa aliyekuwa mtangazaji wa clouds...
Full name: Liverpool Football Club
Nickname(s): The Reds
Founded: 3 June 1892
League: Premier League
Website: LiverpoolFC.com
Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
UWT TAIFA WAWAFIKIA WAATHIRIKA WA MAFURIKO WILAYA YA KILOMBERO (IFAKARA) KUWAPA MSAADA WA KIBINADAMU
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda ameongozana na...
https://www.instagram.com/reel/CxkxrEitPXL/?igshid=NTc4MTIwNjQ2YQ==
==========================
Itafika mahala tutagundu kwamba haya mafuriko yanayotokea huko mbugani maji yake yana thamani...
Wataalamu wa maswala ya afya njooni mnipe maujuzi apa...
Leo ni siku ya 14 tokea nimeyatimba nilijichanganya kwa malaya mmoja mwezi uliopita katika harakati za mtu mweusi kujipatia utamu condom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.