Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

A
Anonymous
Habari wana JF, hii video nimeirekodi kwa mikono yangu mwenyewe, inaonesha Barabara ya Dodoma to Iringa jinsi ilivyo hatarishi kwa maisha ya watu wanaotumia, barabara ina viraka vingi na mahandaki...
3 Reactions
20 Replies
248 Views
Kwa sisi wapenzi watazamaji wa Azam Tv wapenzi wa tamthiliya hasa pale Azam Two hakuna tena burudani kwa wote bali burudani kwa Waturuki. Tamthiliya zinazorushwa na Azam Tv zinachosha mana...
1 Reactions
1 Replies
21 Views
๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐˜‚ Naomba mwenye softy copy ya vitini tajwa hapo juu aweze kunisaidia (Cytology&Biochemistry) pamoja na (Genetics) vyote vimeandikwa na josephat au Mr Mandia ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
0 Reactions
2 Replies
72 Views
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
1 Reactions
42 Replies
498 Views
Ndio ni ratiba ya siku nzima kutoka mawio hadi machweo. Nataka kujifunza kitu. Pia kama mstaafu ni wewe mwenyewe sio mbaya ukashare pia. Sharing is caring.
0 Reactions
2 Replies
20 Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
11 Reactions
515 Replies
15K Views
MHE. Aloyce Andrew Kwezi Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Nimpongeze Waziri wa TAMISEMI na timu...
0 Reactions
0 Replies
16 Views
Nimekusikia ukiwa Musoma,eti kwa sasa mapato yameongezeka na hakuna anayeporwa fedha, hizi ni siasa maji taka, na kwa taarifa yako kumgusa hayati MAGUFULI ni kujidhalaurisha kwa watanzania makini...
31 Reactions
127 Replies
3K Views
Niaje waungwana Leo ningependa kuuliza tena maswali ambayo yamekuwa yakikosa majibu ya kueleweka kutoka kwa uongozi wote wa JF kwa ujumla. Kumekuwa na tabia ya baadhi ya moderators kuvizia post...
1 Reactions
2 Replies
34 Views
Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
2 Reactions
13 Replies
172 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,778
Posts
49,429,161
Members
666,058
Latest member
regluccy
Back
Top Bottom