Binti (Miaka 19) yupo kwa Basi, anatoka zake Dar kwenda Uyulo-Mbeya kumsalimu Shangazi yake, anawasiliana nae kwa Simu akiwa safari, lakini anafika Iringa Simu inakata Chaji.
Binti anamuomba Simu...
Ni wiki sasa sijalipwa mshahara kwakuwa sijakamilisha fomu ya pepmis.
Ni makosa ya mwajiri wangu lakini ok tuseme ni makosa yangu.
Kwakweli Mungu ni mwema.
Nimekamilisha tayari kujaza ile fomu ...
Habari wana JF, poleni na majukumu ya hapa na Pale 🤝.
• Kuhusu hili suala, naona kama ni uraibu wa mke wangu kutazama katuni na watoto kila dakika. "[uende - urudi ni katuni kwenda mbele na...
kaka habari yako pole na majukumu,nakuomba uni postie hili Jambo linanisumbua Sana naomba nipate ushauri wa watu wengi moyo wangu upone lkn naomba unifichie jina langu..
Kaka sasa liko ihvi...
Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga...
Mabibi na Mabwana!
Siku za nyuma kidogo, kulikuwa na wimbi la kuona kila mtu mwenye mafanikio ni Freemason. Hii ilienda kisha ikapotea, sina uhakika ilipotelea wapi ila siku hizi sio habari tena...
1. Je, katika kumpata mgombea wake wa Urais kwa muhula wa pili, CCM inataka kurudi kwenye utaratibu wake uliokuwa ukitumika wakati wa mfumo wa chama kimoja ?
1.1 Wakati wa uchaguzi chini ya...
Chukulia mfano suala la sex, ile ni starehe ya wote lakini dunia imekua brainwashed kwa kuaminishwa mwanaume anafanyiwa favor ambayo in return inatakiwa kulipia posho, hii posho ya sex wadada wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.