Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwanin naliuza ! Nauza kwa sababu nimetumia pesa zangu kufatilia na kupoteza muda mrefu nikifatilia na Sasa Ni biashra nzuri San na in pesa nzuri Haihitaji efd mashine wala tra kukufatilia Zaid...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mkuu, anaeijua kampuni inyoitwa Global Alliance anijuze, naona walinipigia simu nifike kwenye interview yao wanfanyia Kibo palace Arusha, kwa anaejua baadhi ya maswali wanoweza kutoa. Mimi nina...
2 Reactions
19 Replies
206 Views
Kwa uelewa wangu, Pwani ni eneo kulikopita bahari au kwenye mwambao wa bahari. Swali langu ni hili, Dar es Salaam sio Pwani kwanini wakati bahari ipo? Mfano Kigamboni?
1 Reactions
34 Replies
327 Views
Habari.. Ninaomba msaada wa kupata Baruapepe (E-mail) binafsi ya Katibu Mkuu Utumishi, Bwana Juma Mkomi.. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari wadau, Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa...
12 Reactions
81 Replies
2K Views
Kesho ndiyo kesho, wale watani na waasimu wawili, Simba na Yanga wanakipiga kunako Dimba la Benjamini Mkapa, majira ya saa 11:00 jioni. Derby hii sio ya kitoto hata kidogo kwani pamoja na tambo...
1 Reactions
1 Replies
44 Views
Serikali ya Iran imesema haijaona mashambulizi yoyote badala yake imezima majaribio ya drone za Israel tatu kwa kuzidungua kabla hajazijaleta madhara nchini mwake
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya. Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya...
3 Reactions
13 Replies
209 Views
Habari za muda huu....... Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq.......... ==== Israeli missiles have reportedly hit the Iranian city of Isfahan Israeli...
11 Reactions
491 Replies
14K Views

FORUM STATS

Threads
1,846,761
Posts
49,428,822
Members
666,048
Latest member
Simon silumbe
Back
Top Bottom