Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimemsikia Mh Musukuma jinsi anavyojenga hoja kwa kuuliza maswali kuhusu kikokotoo,ni wazi inaonesha hawa wasomi wetu ni matapeli tapeli na hawana msaada wowote kwa jamii. Ile tunaita emotional...
1 Reactions
4 Replies
5 Views
Habari zenu WanaJF mko poa kabisa, Bila kuchelewa niende kwenye mada ya leo, Niko Dodoma kibiashara nilichojione kinaleta raha Fulani hivi, aisee Dodoma kutamu jamani. Nilianza na upande wa...
35 Reactions
303 Replies
10K Views
Kwamba Iran ikishambulia kutokea ndani mwake huko Iran, basi hapo itakua ndio vita kamili ya moja kwa moja ambayo itapelekea anguko la Ayatollah na maugaidi yao. Ifahamike kwamba Israel imekua...
5 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari, Afya ni miongoni mwa huduma muhimu na msingi katika katika Jamii yoyote. Katika kupata Huduma za Afya kuna michakato na mambo mengi katikati yake. Je, umeshawahi kukutana na kero...
1 Reactions
14 Replies
557 Views
Kwa baadhi ya nchi money can be power ila si Tanzania ukichunguza wafanyabiashara wengi upper mid levels na wakubwa unaona wengi wanaona pesa pekee za biashara haziwapi power. hulazimika aidha...
3 Reactions
14 Replies
203 Views
Hello. Katika ulimwengu wa mahaba kipi uwa unaenjoy zaidi. Kuzama chumvini wewe je?
5 Reactions
54 Replies
675 Views
Huyu kijana tulidate kama miezi 2 tu nikamuacha tumwite chris,, sababu nilikuwa na mpnz wangu ambae alikuwa nnje ya nchi kwa wakati huo… sikupanga kumcheat ni ile tu sikuwa na uhakika na huyo mpnz...
7 Reactions
164 Replies
2K Views
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Hassan Mwakinyo amepata pigo la kwanza katika kesi yake ya madai inayomkabili kufuatia pingamizi lake aliloliweka katika kesi hiyo dhidi ya mdai Kampuni ya PAF...
0 Reactions
1 Replies
107 Views
Serikalini na wananchi wake wamekuwa ni wabaguzi wa kutupwa na kusababisha psychological torture kwa baadhi ya wahitimu,haiwezekani mtu amesoma mpaka chuo then unarelate maisha yake na mtu wa...
11 Reactions
121 Replies
2K Views
Hata katika ukusanyaji wa mapato hakuna mwaka tumepata mapato makubwa bila kufunga watu, bila kupora watu kama mwaka huu” - Abdulrahman Omar Kinana, Makamu Mwenyekiti CCM.
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,846,604
Posts
49,423,329
Members
666,015
Latest member
mzanzibar_4_real
Back
Top Bottom