Nimetoa sample ndogo ya hawa kaka zetu ili sisi team kataa ndoa tupate kujifunza.
Kwa umaarufu wao wasingekosa hela ya kulipia bill hospitali, kwa umaarufu wao wasingekosa watu wa kuwapunguzia...
Habari za muda huu wapendwa.....,...
Maisha ni safari ndefu sana yenye milima na mabonde.....
Kuna nyakati unapitia Raha mpaka unajiona hapa duniani upo peke yako......
Kuna nyakati unapitia...
Tulimaliza robo mwaka March, zile resolution zako ulizosema mwanzoni mwa mwaka utafanya hiki na kile, Mpaka sasa umefanya nini?
Umeaccomplish mikakati yako?
Mimi nilisema nitafanya savings, ila...
Habari.
Kama Itatokea Siku Moja Duniani Mpira Ukahitajika Kuchezwa Kwenye Moto Basi Naamini Kabisa Timu Namba Moja Ambayo Dunia Itafikiria Ni Young Africans.
Tumeweza Kucheza Mpira Kwenye...
Habari wakuu!
Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery...
Angalizo: Mada za Msingi kama Hizi Huwezi Wakuta Watanzania wanadili ila Umbea,michezo,siasa na dini .
Kwenye mada,Kwa mujibu wa Utafiti wa Benki ya Dunia,Tanzania inashika nafasi ya 180 kati ya...
Ni Ushauri tu
Kwani Mbowe ni Mwamba kama wanavyomsifia huko Chadema?
Mbona hajawahi kukataa Hiyo Sifa ambayo ni Wazi wanampamba kwa kumzuga tu
Toa kwanza boriti kwenye jicho lako ndio utaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.