Kumekuwa na malalamiko kuhusu report zinazotolewa na mawaziri kutathimini miaka 3 ya Rais Samia.
Data wanazo ziweka wengi wanaziona kama zimepikwa. Wanauliza kuna ubaya gani mkiweka tawimu...
Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Vyama vyote vya siasa hadi club za mpira za Simba na yanga nk vina wasemaji active msemaji wa Chadema Makene yuko wapi hasikiki kulikoni?
Makene msemaji wa Chadema muda mrefu hatujamsikia muda...
Habari humu!
Nimeambiwa miongozo ya kupata UTAJIRI wa giza ni hii ifuatayo
1.Si kila mganga ana uwezo wa kutoa utajiri
2. Kuna mitihani na masharti kabla ya kupewa utajiri. Kila mtu ana...
Sakata la mchele wenye virutubisho kutoka Marekani limeendelea kuchukua sura mpya baada ya waislamu kuukataa bila kumumunya maneno. Wakiongea kupitia redio ya kiislamu ya Imaan FM inayounguruma...
HABARI WANDUGU
NAPENDA ULIZIA MATUMIZI YA RICE COOKER YA 1.8L , IKIWA INAPIKIWA MCHANA NA USIKU YAANI INATUMIKA MARA 2 KWA SIKU , JE UMEME WA 5000 UTAFAA KWA SIKU 30 ?
AU NI KUBWA SANA...
Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema...
Inasikitisha sana. Tumekuwa tukisikia walimu wakihusika kuwaua wanafunzi kwa vipigo na baadhi yao wameishafungwa gerezani na kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini huku mtaani nako hali si shwari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.