Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge...
Huwa wanatuona kama vile ni watu ambao akili zipo chini sana.
Lakini kuna mambo mengi yanayoendelea kwa mtu binafsi, familia, taasisi na serikali hakika ukiyapima utaona tu kuwa SISI NI KENGE...
TAMBUA UNYWAJI SAHIHI WA POMBE
Kitu cha msingi kwenye pombe siyo kujua aina ya beer au kilevi. Kitu cha msingi ni kujua percentage of pure alcohol (asilimia ya pombe halisi) na ujazo wake (...
Benchika hafai aondoke, saido anacheza kama bibi harusi, Mo Dewji anatuumiza hajaweka hela, Mangungu sio mtu wa mpira, Try Again hana uwezo, Barbra arudishwe aliiweza Simba, Kaduguda mnafiki...
Kwa mujibu wa Ratiba iliyosambazwa na CHADEMA, leo ni zamu ya Mkoa wa Simiyu, ambako wananchi wataandamana mitaani kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania.
Kama...
Habari zenu wakuu
Mimi ni kijana wa kitanzania ,mwenye nia ya kufanya mabadiliko kwa kuleta chachu ya maendeleo kwa kushiriki kulipa kodi na kufanya majukumu mengine kama raia
Changamoto yangu...
Ni mrejesho tu kwa sisi wapambanaji huu mwezi sijui wanawake wamepata upako gani kila utakaemtongoza ni mapema sana imo, ni kama kuna upako umewapitia ukiacha kutoa namba unatafutwa na kuulizwa...
Wanasema tembea uone,,,hakika najionea ambayo sikuyaona town
Huku wanawake wanathamani kuliko uhai wa mtu,,,, yaani ukijichanganya na wake za watu inaundwa kamati ndogo na chap unakatishwa uhai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.