Wakuu binafsi nimeskia sana swala la mashabiki kudai wachezaji wetu baadhi waachwe na wengine wabaki .
Ni sawa ..
Lakini shida tunasahau sana na kukurupuka sana bila kukumbuka na kufuatilia kwa...
A Tanzania national arrested at Bole Airport with 1.34 KG of cocaine on 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a...
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe.
DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na...
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Je, hizi ni carrier ( keria) tulizozoea kuziona kwenye mabasi ya zamani kwa ajili ya kubebe mizigo? Au ni kitu gani? Maana sote tunafahamu kwenye treni za kisasa hakuna hivyo vitu juu, huenda ni...
Kwenye makuzi yetu mpaka kufikia hapa tulipofikia kuna mtu amehusika kwa asilimia kubwa mpaka kufika tulipofika.
Yawezekana ni baba,mama, rafiki, bibi, babu, mjomba, mwalimu wa shule ama yeyote...
OFA YANGU YA MWEZI WA NNE.
TAA ZA JOTO KWA VIFARANGA ( INFARED BULB )
UKINUNUA TAA 5 KWANGU NINAKUPA ZAWADI YA VITABU HARD COPY VIWILI VYENYE THAMANI YA TSH 30,000
NITAKUONGEZA VITABU VINGINE...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.