Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja.
Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
Shikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).
Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati...
Wakati naendelea kufuatilia marudio ya msiba wa Garder, namuona DJ JD akiwa katulia msibani. Mara kwa mara kamera zinamuonyesha akiwa katulia, na miwani yake myeusi juu ya paa la uso.
Ndipo...
GAMONDI IS PATHETIC OF A MANAGER. #FACTS
Sababu ni hizi
1. AKILI ZA SUBSTITUTION HANA KABISA, leo nimejua hata ajui wachezaji wake completely ni kama he lost his mind adding to that, he has no...
A TANZANIAN NATIONAL ARRESTED AT BOLE AIRPORT WITH 1.34KG OF COCAINE On 18/04/2024 at 19:40 at Transit lounge At Bole International Airport In Addis Ababa Ethiopia Police have arrested a...
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa.
Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
Habari wana jamii forum, chemical and process engineering ni kozi nzuri sana kwa sasa japo kupata nafasi ya kuajiriwa ndio changamoto.
Naomba tutumie uzi huu kuandika fursa mbali mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.