Kweli mapenzi hayana cha ustaa wala umaarufu yakiamua kukunyoosha yanakunyoosha bila kujali ni mtu wa aina gani.
Ni wazi bado mwanamama Shakira anateswa na zimwi la penzi la Gerald Pique, kuzidi...
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.
Jitafakari.
Cc...
LOCATION: Mara
SIZE: 163 m²
VYUMBA: VINNE (KIMOJA SELF)
KIWANJA: TAMBALALE
Public toilet/bathroom moja.
Uzio full not les than 400m².
System ya maji ya kisima na pump.
Umeme.
Gutters and tank
Kutokuwa tayari kula na watu.
Kuna dogo mmoja anafufua na kuuza PC kwa bei rahisi. Alinifuata anaomba mtaji na hataki kukopa benk.
Nikamwambia sasa mimi nitawekeza kiasi kadhaa alafu katika hiyo...
Fuatilia yanayojiri wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU kwa mwaka 2022/23, Ikulu ya Chamwino, Dodoma, leo Machi 28, 2024.
Miaka ya karibuni kumezuka matukio kadhaa kwa serekali kushindwa kuendesha mashirika yake na imepanga kuwapa wageni, ili ni kosa instead serekali iajiri foreigner ambao wana exposure na sio hawa...
Baada ya maradhi sugu, hakuna kitu kinachokosesha amani kama kuwa na madeni.
Hili jambo linatia stress ya hali ya juu mno.
Na mbaya zaidi ni kuwa stress hii inakufanya ushindwe ku focus kufanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.