Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) ilipata hasara ya Sh56.64 bilioni katika mwaka wa fedha 2022/23 ikiwa ni ongezeko la asilimia 61, ikilinganishwa na mwaka wa fedha uliopita. Ripoti ya mwaka ya...
1 Reactions
19 Replies
563 Views
Baada ya kumdhihaki sana Rais wa nchi hatimaye account ya instagram ya mwanadada Mange Kimambi imefutwa rasmi kwenye ukurasa wa instagram. Account hiyo ilikuwa na zaidi ya followers 7.6M
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Nimeangalia michezo ya Yanga vs Ihefu(Singida black stars) na mchezo wa leo ni hakika hizi timu mbili zipo hapo kumtengenezea Yanga point 12 kila msimu, na hiyo imefanywa kwa makusudi na mmiliki...
10 Reactions
149 Replies
3K Views
Iko hivi, kwa sasa israel hana sababu ya kuipiga tena gaza, kwakuwa jamaa wameshasalimu amri, na kuna harakati nyingi za maandamano na malalamiko kutoka kwa watu wa haki za binadamu na activits...
6 Reactions
35 Replies
875 Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana. Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu...
12 Reactions
45 Replies
2K Views
Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap. Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko...
10 Reactions
72 Replies
860 Views
Wakuu habari za muda na wakati kama huu. Binafsi naamini wengi wetu tu wazima wa afya na wale wachache wenye changamoto fulani kiafya basi Mungu awatie nguvu na awape steps zingine ahead...
37 Reactions
181 Replies
5K Views
Na Mwandishi Wetu, Serengeti MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amepokea malalamiko mbalimbali yakiwemo madai ya mauaji ya wananchi katika hifadhi...
5 Reactions
23 Replies
581 Views

FORUM STATS

Threads
1,845,914
Posts
49,400,674
Members
665,764
Latest member
ASHELYJUMELY
Back
Top Bottom