Habari zenu!
Bila kupoteza muda naiomba serikali itoe tamko kupitia wizara ya afya juu ya mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu (cholera). Baadhi ya vituo vya afya vimeshaanza kuzidiwa na wagonjwa...
Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam bado linaendelea kuwashikilia Boniface Jacob na Godlisten Malisa. Wanatuhumiwa kwa makosa ya uchochezi na kuzua taharuki katika jamii.
Polisi...
Mungu ametuwekea mambo ya kutupa raha machache sana yaani ukifikiria raha ni kunywa pombe, kula chakula, kufanya mapenzi na kulala usingizi.ila cheki majanga yalivyo mengi magonjwa, majanga ya...
Alihudumu kama Waziri kwa vipindi vyote viwili vya JK kama Waziri wa Ujenzi kisha Elimu. Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye baada ya kuwa Lecturer UDSM akagombea ubunge wa Bagamoyo.
Kwenye clip...
Tumemsikia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akitoa taarifa bungeni Leo, kuwa mafuriko hapa nchini kote, tokea mvua za masika zianze, yamesababisha vifo vya jumla ya watu 155!
Hizi taarifa, tulipaswa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimeisikiliza hii ngoma ya Dizasta Vina. Inaitwa Mwanajua....nimeskiliza zaidi ya mara 20 Lakini hadi leo sijaelewa hii fasihi jamaa alilenga kitu gani, Kuna anaefahamu?
Huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.