Kwenye Science kila kitu kinakuwa supported na data au statistical significance, kinyume na hapo hiyo inakuwa ni IMANI au personal faith.
Maneno kama ukikojoa mkojo wa povu, wewe una FIGO, kiuno...
Kwa furaha kubwa sana kipindi cha Uncle Magu niliipongeza serikali kwa kuanza kuleta ndege mpya za air Tanzania nikiamini ya kwamba ushindani dhidi ya fastjet utaongezeka nasi abiria tunufaike...
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza.
Karibu
Nieleze kidogo kuhusu subwoofer
Je, unataka kununua, basi zingatia haya.
Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo...
Naandika andiko hili nikiwa na uchungu sana, kuna muda unatakani ufanye jambo lakini nafsi inasita, anyway ngoja nielezee ili Dunia ijue.
Mimi na wenzangu tumeshirikiana kuandika andiko hili...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura...
Nianze kwa kuwapa Pole na ujenzi wa taifa, naomba niweke wazi kwamba Kuna jambo nimelishuhudia hapa kwa jirani yangu siamini kama utendaji wa jeshi la polisi umefikiwa viwango hivi ama ni wale...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nitandika Kwa kifupi najuwa mmu watu hawapendi magazeti.
Wazungu unafki huu hawaiwezi, kuishi na mtu eti kisa mna watoto lakini upendo umekufa.
Mi ni mtu wa society Kwa utafiti wangu wa miaka...
Umeshawahi kusikia maneno credit cards na debit cards? Inawezekana umekutana nayo katika mitandao ya kijamii, umesikia rafiki/ndugu wakiyatamka au kuyasikia kwenye movie, hasa movie za Marekani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.