Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

  • Solved
Ikiwa inakusumbua,ikiwa unataka kufahamu chochote kinachokutatiza. Karibu Nieleze kidogo kuhusu subwoofer Je, unataka kununua, basi zingatia haya. Zipo za aina mbili old model na digital. Siyo...
49 Reactions
3K Replies
259K Views
Shaaban Kissu MC wa Taifa ndiye the most paid Radio presenter so far, akiwa TBC Na sasa AMG Analipwa zaidi ya milioni tano kwa mwezi, sababu ya kuwa hivyo inatokana na kuwahi kuteuliwa kuwa mkuu...
12 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu habari za muda huu, nina rafiki yangu ametumiwa email kichwa cha habari kina eleza kwamba INTERVIEW INVITATION - SYSPRO BUSINESS SUPPORT. Sasa haelewi hiyo SYSPRO BUSINESS SUPPORT ni nini...
0 Reactions
4 Replies
29 Views
Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara...
0 Reactions
4 Replies
59 Views
Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu hivi ni sheria gani inayoruhusu mtendaji wa mtaa kudai sh.10,000 kwa saia kwaajili ya kugonga muhuri?
2 Reactions
31 Replies
279 Views
Hili swali najiuliza sana na hasa ninaposikia Makonda ataongea na Waandishi wa Habari siku za karibuni Bado sijaelewa Wananchi watapenda kufuatilia Habari gani Kati ya Maandamano ya Tundu Antipas...
0 Reactions
2 Replies
29 Views
Bila kupoteza muda ladies leo zamu yenu, hebu mtaje member wa kiume unayevutiwa naye… unaona kabisa huyu yupo kumtima. Na liwalo na liwe namtaja. Wanaume tulieni muone mnavyopendwa na ukitajwa...
17 Reactions
1K Replies
8K Views
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
12 Reactions
143 Replies
2K Views
Haya mahusiano kwa kweli hayakuwa na tija kwangu. Nikitaka K nalipia yeye akitaka MBO_ o Nalipia. Yaani napigwa ndani nje. Sikuona faida. Binti nimemfahamu ndani ya siku mbili tu tayari anaanza...
0 Reactions
2 Replies
3 Views

FORUM STATS

Threads
1,847,785
Posts
49,465,789
Members
666,454
Latest member
Dr Sifael Mk
Back
Top Bottom