Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Serikalini ibinafsishe shirika la ndege ATCL Kwa kualika wawekezaji binafsi Ili nao iwe mwana hisa badala ya Sasa ambapo linamikiwa 100% na Serikali. Kwa kufanya hivyo ndio shirika litaanza...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Habari wakuu. Mwezi wa kwanza mwaka huu. Baada ya mwezi wa 12 kuonekana nina wateja wengi sana kwenye biashara yangu sasa nimepata mpinzani mpuuzi sana. Kiufupi nimeumia sana kuwa na mpinzani wa...
6 Reactions
20 Replies
611 Views
Wasalamu, Juzi nilienda buchani nikatoa 9000 naambiwa kg 1 Kwa Sasa ni 10,000. Mwaka huu vitu vinapanda bei Kila kukicha. Hatukatai vitu visipande bei ila frequency na tendency Kwa 2023 na 2024...
1 Reactions
12 Replies
157 Views
Hello comrades kichwa cha habari kinajieleza please msinichoke naombeni elimu... Sent from my SM-A145F using JamiiForums mobile app
3 Reactions
9 Replies
817 Views
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo. Timu yangu ilifanikiwa...
16 Reactions
56 Replies
2K Views
Mchezo utapigwa kesho utabiri wetu Ni 1-1😆
0 Reactions
5 Replies
11 Views
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
12 Reactions
83 Replies
2K Views
Zipo taarifa kwamba Serikali ya Tanzania imekataa ombi la Mohamed Dewji la kutaka kufunga kiwanda chake cha chai. Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amemuomba Bwana Dewji kufanya majadiliano na...
14 Reactions
171 Replies
6K Views
Nimeshangaa kusikia Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umeikopesha Serikali Shilingi billion 208 na hazijalipwa hadi Leo. Inasikitisha sana. Waziri husika ajitafakari kwa kweli.
2 Reactions
8 Replies
149 Views
Yaani napalangana kuuza kangala na huku napiga kazi.. Kuna dada mmoja alinikuta kazini (Kapuni naliweka jina lake.) Aliponikuta kazini alikuja hajui kitu. Nikamfundisha kazi. Baada kujua kazi...
13 Reactions
75 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,294
Posts
49,196,324
Members
663,983
Latest member
Mr samson
Back
Top Bottom