Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Choo kurudisha harufu ndani. Je vyoo vya kukaa ni bora kuliko vya kuchuchumaa? Eti wakuu, kuna vyoo vya kukaa vina ahueni kwenye hili suala?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mchezo utapigwa kesho utabiri wetu Ni 1-1😆
0 Reactions
1 Replies
11 Views
Serikali imedhamiria kusaini mkataba wa ubia na Shirika la Emirates National Group (ENG) lenye makao yake makuu Dubai ili kuendesha usafiri wa mabasi yaendayo haraka Dar (DART) awamu ya 1 mwezi...
12 Reactions
76 Replies
2K Views
From my experience real love is hard to find, real people are so rare! Wanawake siku hizi hawaaminiki kabisa. Their intentions is to play you and use you. The same applies to men. Kijana msomi...
3 Reactions
9 Replies
97 Views
Uendeshaji wao ni wa hovyo kabisa na hauzingatii sheria na kanuni za barabarani. Sauli hununua askari wowote wanaokuwepo zamu siku husika katika usalama barabarani kuanzia Igawa hadi Tunduma na...
18 Reactions
135 Replies
13K Views
Uchaguzi wa mwaka 2015 ulituonesha ni jinsi gani inawezekana. Kwa miaka zaidi ya 60 sasa, viongozi wa CCM wamekuwa ni viongozi wa kujilimbikizia mali na kutoa familia zao. Kama kungekuwa na...
5 Reactions
35 Replies
415 Views
Serikalini ibinafsishe shirika la ndege ATCL Kwa kualika wawekezaji binafsi Ili nao iwe mwana hisa badala ya Sasa ambapo linamikiwa 100% na Serikali. Kwa kufanya hivyo ndio shirika litaanza...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo. Timu yangu ilifanikiwa...
16 Reactions
55 Replies
2K Views
Ndugu zangu wana Jf habari zenu. Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
146 Reactions
12K Replies
4M Views
Kuna class mate wangu baada ya kumaliza secondary aliamua kwenye kusomea mambo ya kuchora ramani na ujenzi kwa ujumla, basi baada ya miaka kadhaa kupita nikamtumia picha ya nyumba na ukubwa...
15 Reactions
64 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,840,292
Posts
49,196,251
Members
663,984
Latest member
Mr samson
Back
Top Bottom